Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 26:17-18

Matendo 26:17-18 NEN

Nitakuokoa kutoka kwa watu wako na watu wa Mataifa ambao ninakutuma kwao, uyafumbue macho yao ili wageuke kutoka gizani waingie nuruni, na kutoka kwenye nguvu za Shetani wamgeukie Mungu, ili wapate msamaha wa dhambi na sehemu miongoni mwa wale waliotakaswa kwa kuniamini mimi.’

Video for Matendo 26:17-18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 26:17-18