Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 13:2-3

Matendo 13:2-3 NEN

Walipokuwa wakimwabudu Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi ile maalum niliyowaitia.” Ndipo baada ya kufunga na kuomba, wakawawekea mikono yao na wakawatuma waende zao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 13:2-3