Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 13:1-3

Matendo 13:1-3 NEN

Katika kanisa huko Antiokia ya Shamu walikuwako manabii na walimu, yaani: Barnaba, Simeoni aitwaye Nigeri, Lukio Mkirene, Manaeni aliyekuwa amelelewa pamoja na Mfalme Herode Agripa, na Sauli. Walipokuwa wakimwabudu Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi ile maalum niliyowaitia.” Ndipo baada ya kufunga na kuomba, wakawawekea mikono yao na wakawatuma waende zao.

Video for Matendo 13:1-3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 13:1-3