Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 2:10-13

2 Timotheo 2:10-13 NEN

Kwa hiyo ninavumilia mambo yote kwa ajili ya wateule wa Mungu, kusudi wao nao wapate wokovu ulio katika Kristo Yesu, pamoja na utukufu wa milele. Hili ni neno la kuaminiwa: Kwa maana kama tumekufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye. Kama tukistahimili, pia tutatawala pamoja naye. Kama tukimkana yeye, naye atatukana sisi. Kama tusipoamini, yeye hudumu kuwa mwaminifu, kwa maana hawezi kujikana mwenyewe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 2:10-13