Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 1:7-8

2 Timotheo 1:7-8 NEN

Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali roho ya nguvu, ya upendo na ya moyo wa kiasi. Kwa hiyo usione haya kushuhudia kuhusu Bwana wetu, wala usinionee haya mimi niliye mfungwa kwa ajili yake. Bali uishiriki pamoja nami taabu ya Injili, kwa kadiri ya nguvu ya Mungu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 1:7-8