Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 1:16-18

2 Timotheo 1:16-18 NEN

Bwana akawahurumie watu wa nyumbani mwa Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha mara kwa mara wala hakuionea aibu minyororo yangu. Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Bwana na amjalie kupata rehema zake siku ile! Nawe unajua vyema jinsi alivyonisaidia huko Efeso.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 1:16-18