Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wathesalonike 1:1-2

2 Wathesalonike 1:1-2 NENO

Paulo, Silvano na Timotheo. Kwa kundi la waumini la Wathesalonike mlio katika Mungu, Baba yetu, na Bwana Isa Al-Masihi. Neema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba Mwenyezi na kwa Bwana Isa Al-Masihi ziwe nanyi.