2 Samweli 6:13-14
2 Samweli 6:13-14 NEN
Wale waliokuwa wamebeba Sanduku la BWANA walipokuwa wametembea hatua sita, Daudi alitoa dhabihu fahali na ndama aliyenoneshwa. Daudi, akiwa amevaa kisibau cha kitani, alicheza mbele za BWANA kwa nguvu zake zote