Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 18:9-10

2 Samweli 18:9-10 NEN

Basi ikawa Absalomu alikutana na watu wa Daudi. Yeye alikuwa amepanda nyumbu wake, naye nyumbu alipopita chini ya matawi yaliyosongana ya mwaloni mkubwa, kichwa cha Absalomu kilinaswa kwenye mti. Akaachwa akiningʼinia hewani, wakati nyumbu aliyekuwa amempanda aliendelea kwenda. Mmojawapo wa wale watu alipoona, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akiningʼinia kwenye mti wa mwaloni.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 18:9-10