Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 12:9

2 Samweli 12:9 NEN

Kwa nini ulilidharau neno la BWANA kwa kufanya lililo ovu machoni pake? Ulimuua Uria, Mhiti kwa upanga na kumchukua mke wake awe mkeo. Ulimuua kwa upanga wa Waamoni.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 12:9