Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Petro 3:12-13

2 Petro 3:12-13 NEN

mkingojea na kuhimiza kuja kwa hiyo siku ya Mungu. Siku hiyo italeta mbingu kuchomwa moto na kutoweka, na vitu vya asili vitayeyuka kwa moto. Lakini kufuatana na ahadi yake, sisi tunatazamia mbingu mpya na dunia mpya, ambayo haki hukaa ndani yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Petro 3:12-13