Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 25:1

2 Wafalme 25:1 NEN

Hivyo katika mwaka wa tisa wa utawala wa Sedekia, katika siku ya kumi ya mwezi wa kumi, Nebukadneza mfalme wa Babeli, akiwa na jeshi lake lote, alifanya vita dhidi ya Yerusalemu. Akapiga kambi nje ya mji na kuuzunguka mji pande zote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 25:1