2 Wafalme 24:18-19
2 Wafalme 24:18-19 NEN
Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, kutoka Libna. Alifanya maovu machoni pa BWANA, kama alivyofanya Yehoyakimu.