Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 9:5

2 Wakorintho 9:5 NEN

Kwa hivyo niliona ni muhimu niwahimize hawa ndugu watangulie kuja huko kwenu kabla yangu, wafanye mipango ya hayo matoleo ya ukarimu mliyokuwa mmeahidi, ili yawe tayari kama matoleo ya hiari wala si kama ya kutozwa kwa nguvu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 9:5