Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 4:13-14

1 Wathesalonike 4:13-14 NEN

Lakini ndugu, hatutaki mkose kujua kuhusu wale waliolala mauti, ili msihuzunike kama watu wengine wasiokuwa na tumaini. Kwa kuwa tunaamini kwamba Yesu alikufa na kufufuka, na kwa hivyo, Mungu kwa njia ya Yesu atawafufua pamoja naye wale waliolala mautini ndani yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 4:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha