Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 1:24-25

1 Petro 1:24-25 NEN

Maana, “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao ni kama maua ya kondeni; majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Bwana ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 1:24-25