Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 1:18-19

1 Petro 1:18-19 NEN

Kwa maana mnafahamu kwamba mlikombolewa kutoka mwenendo wenu usiofaa ambao mliurithi kutoka kwa baba zenu, si kwa vitu viharibikavyo kama fedha na dhahabu, bali kwa damu ya thamani ya Kristo, yule Mwana-Kondoo asiye na dosari wala doa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 1:18-19