Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 9:3

1 Wafalme 9:3 NEN

BWANA akamwambia: “Nimesikia dua na maombi uliyofanya mbele zangu, nimeliweka wakfu Hekalu hili ambalo umelijenga, kwa kuweka Jina langu humo milele. Macho yangu na moyo wangu utakuwa humo siku zote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 9:3