Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 4:18

1 Yohana 4:18 NEN

Katika pendo hakuna hofu. Lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa sababu hofu inahusika na adhabu. Kila mwenye hofu hakukamilika katika pendo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 4:18