Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 3:2-3

1 Yohana 3:2-3 NEN

Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirishwa, tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo. Kila mmoja mwenye matumaini haya ndani yake hujitakasa, kama vile yeye alivyo mtakatifu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 3:2-3