Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 3:17-18

1 Yohana 3:17-18 NEN

Ikiwa mtu anavyo vitu vya ulimwengu huu na akamwona ndugu yake ni mhitaji lakini asimhurumie, upendo wa Mungu wakaaje ndani ya mtu huyo? Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli.