Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 3:16-18

1 Yohana 3:16-18 NEN

Kwa namna hii twaweza kulijua pendo la Mungu: Kwa sababu Yesu Kristo aliutoa uhai wake kwa ajili yetu. Nasi imetupasa kuutoa uhai kwa ajili ya hao ndugu. Ikiwa mtu anavyo vitu vya ulimwengu huu na akamwona ndugu yake ni mhitaji lakini asimhurumie, upendo wa Mungu wakaaje ndani ya mtu huyo? Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 3:16-18