Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 3:9-11

1 Wakorintho 3:9-11 NEN

Kwa kuwa sisi tu watendakazi pamoja na Mungu. Ninyi ni shamba la Mungu, jengo la Mungu. Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kama mjenzi stadi na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini kila mmoja inampasa awe mwangalifu jinsi anavyojenga. Kwa maana hakuna mtu yeyote awezaye kuweka msingi mwingine wowote isipokuwa ule uliokwisha kuwekwa, ambao ni Yesu Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 3:9-11