Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 15:55-57

1 Wakorintho 15:55-57 NEN

“Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako? Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?” Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria. Lakini ashukuriwe Mungu, yeye atupaye ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 15:55-57