1
Zaburi 84:11
Biblia Habari Njema
Mwenyezi-Mungu ni jua letu na ngao yetu; yeye hutuneemesha na kutujalia fahari. Hawanyimi chochote kilicho chema, wale waishio kwa unyofu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 84:11
2
Zaburi 84:10
Siku moja tu katika maskani yako, ni bora kuliko siku elfu mahali pengine; afadhali kusimama mlangoni pa nyumba yako, kuliko kuishi nyumbani kwa watu waovu.
Chunguza Zaburi 84:10
3
Zaburi 84:5
Heri watu wanaopata nguvu zao kwako, wanaotamani kwenda kuhiji mlimani kwako.
Chunguza Zaburi 84:5
4
Zaburi 84:2
Nafsi yangu yatamani mno maskani ya Mwenyezi-Mungu! Moyo na mwili wangu wote wamshangilia Mungu aliye hai.
Chunguza Zaburi 84:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video