Zaburi 84:10
Zaburi 84:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku moja tu katika maskani yako, ni bora kuliko siku elfu mahali pengine; afadhali kusimama mlangoni pa nyumba yako, kuliko kuishi nyumbani kwa watu waovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 84Zaburi 84:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakika siku moja katika nyua zako Ni bora kuliko siku elfu kwingineko; Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu, Kuliko kuishi katika hema za uovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 84Zaburi 84:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hakika siku moja katika nyua zako Ni bora kuliko siku elfu. Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu, Kuliko kukaa katika hema za uovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 84