1
Isaya 64:4
Biblia Habari Njema
Tangu kale hakuna aliyepata kuona wala kusikia kwa masikio yake; hakuna aliyepata kumwona Mungu aliye kama wewe atendaye mambo kwa ajili ya wale wanaomtegemea!
Linganisha
Chunguza Isaya 64:4
2
Isaya 64:8
Hata hivyo, ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni Baba yetu. Sisi ni kama udongo, wewe ni mfinyanzi. Sisi sote ni kazi ya mikono yako.
Chunguza Isaya 64:8
3
Isaya 64:6
Sote tumekuwa kama watu walio najisi; matendo yetu yote mema ni kama nguo chafu. Sote tunanyauka kama majani, uovu wetu watupeperusha kama upepo.
Chunguza Isaya 64:6
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video