Isaya 64:6
Isaya 64:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Sote tumekuwa kama watu walio najisi; matendo yetu yote mema ni kama nguo chafu. Sote tunanyauka kama majani, uovu wetu watupeperusha kama upepo.
Shirikisha
Soma Isaya 64Isaya 64:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana sisi sote tumekuwa kama mtu aliye mchafu, na matendo yetu yote ya haki yamekuwa kama nguo iliyotiwa unajisi; sisi sote twanyauka kama jani, na maovu yetu yatuondoa, kama upepo uondoavyo.
Shirikisha
Soma Isaya 64