1
Hosea 13:4
Biblia Habari Njema
Mwenyezi-Mungu asema: “Lakini mimi, Mwenyezi-Mungu, ni Mungu wenu, ambaye niliwatoa nchini Misri; hamna mungu mwingine ila mimi, wala hakuna awezaye kuwaokoeni.
Linganisha
Chunguza Hosea 13:4
2
Hosea 13:14
Yanibidi kuwakomboa hawa watu kutoka kuzimu; sharti niwaokoe kutoka kifoni! Ewe Kifo, yako wapi maafa yako? Ewe Kuzimu, yako wapi maangamizi yako? Mimi sitawaonea tena huruma!
Chunguza Hosea 13:14
3
Hosea 13:6
Lakini mlipokwisha kula na kushiba, mlianza kuwa na kiburi, mpaka mkanisahau.
Chunguza Hosea 13:6
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video