Hosea 13:6
Hosea 13:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mlipokwisha kula na kushiba, mlianza kuwa na kiburi, mpaka mkanisahau.
Shirikisha
Soma Hosea 13Hosea 13:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kadiri ya malisho yao, kwa kadiri iyo hiyo walishiba; walishiba na moyo wao ukatukuka; ndiyo sababu wamenisahau mimi.
Shirikisha
Soma Hosea 13