1
Ezekieli 11:19
Biblia Habari Njema
Nitawapeni moyo mpya na kuweka roho mpya ndani yenu. Nitauondoa ule moyo mgumu kama jiwe na kuwapa moyo wa utii
Linganisha
Chunguza Ezekieli 11:19
2
Ezekieli 11:20
ili mpate kufuata kanuni zangu na kuyatii maagizo yangu; nanyi mtakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wenu.
Chunguza Ezekieli 11:20
3
Ezekieli 11:17
“Basi, waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitawakusanya toka miongoni mwa watu mnakokaa. Nitawakusanya kutoka nchi ambako mlitawanywa. Nitawarudisha nchini Israeli.
Chunguza Ezekieli 11:17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video