Ezekieli 11:20
Ezekieli 11:20 Biblia Habari Njema (BHN)
ili mpate kufuata kanuni zangu na kuyatii maagizo yangu; nanyi mtakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 11Ezekieli 11:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili waende katika amri zangu, na kuyashika maagizo yangu, na kuyatenda; nao watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao.
Shirikisha
Soma Ezekieli 11