1
Kutoka 19:5-6
Biblia Habari Njema
Sasa basi, kama mkiitii sauti yangu na kulishika agano langu, mtakuwa watu wangu wateule kati ya mataifa yote, maana dunia yote ni yangu. Mtakuwa kwangu ufalme wa makuhani na taifa takatifu.’ Hayo ndiyo maneno utakayowaambia Waisraeli.”
Linganisha
Chunguza Kutoka 19:5-6
2
Kutoka 19:4
‘Nyinyi wenyewe mmeona nilivyowatenda Wamisri na jinsi nilivyowachukua kama tai anavyochukua watoto wake kwa mabawa, nikawaleta kwangu.
Chunguza Kutoka 19:4
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video