Kutoka 19:4
Kutoka 19:4 Biblia Habari Njema (BHN)
‘Nyinyi wenyewe mmeona nilivyowatenda Wamisri na jinsi nilivyowachukua kama tai anavyochukua watoto wake kwa mabawa, nikawaleta kwangu.
Shirikisha
Soma Kutoka 19Kutoka 19:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mmeona jinsi nilivyowatendea Wamisri, na jinsi nilivyowachukua ninyi juu ya mbawa za tai, nikawaleta ninyi kwangu mimi.
Shirikisha
Soma Kutoka 19