1
Matendo ya Mitume 10:34-35
Swahili Roehl Bible 1937
*Petero akakifumbua kinywa chake, akasema: Naitambua kabisa iliyo kweli, ya kuwa Mungu hautazami uso wa mtu, lakini katika mataifa yote anayemcha yeye na kufanya yaongokayo humpendeza.
Linganisha
Chunguza Matendo ya Mitume 10:34-35
2
Matendo ya Mitume 10:43
Kwa kumwelekea huyu Wafumbuaji wote hushuhudia, ya kuwa kila atakayemtegemea atapata kuondolewa makosa kwa Jina lake.
Chunguza Matendo ya Mitume 10:43
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video