1
Luka MT. 9:23
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akawaamhia wote, Atakae kuniandama, na ajikane nafsi yake, ajitwike msalaba wake killa siku, anifuate.
Linganisha
Chunguza Luka MT. 9:23
2
Luka MT. 9:24
Kwa maana mtu akitaka kuisalimisha roho yake ataiangamiza, nae atakae kuitoa roho yake kwa ajili yangu, huyu ataisalimisha.
Chunguza Luka MT. 9:24
3
Luka MT. 9:62
Yesu akamwambia, Hakuna mtu aliyetia mkono wake alime, khalafu akatazama nyuma, afaae kwa ufalme wa Mungu.
Chunguza Luka MT. 9:62
4
Luka MT. 9:25
Maana itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote na kujipoteza, au kupata khasara ya roho yake?
Chunguza Luka MT. 9:25
5
Luka MT. 9:26
Kwa sababu killa mtu atakaenionea haya mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu atamwonea haya huyo atakapokuja katika utukufu wake, na wa Baba yake, na wa malaika watakatifu.
Chunguza Luka MT. 9:26
6
Luka MT. 9:58
Yesu akamwambia, Mbweha wana matundu, na ndege za anga vioto vyao, bali Mwana wa? Adamu hana pa kujilaza kichwa chake.
Chunguza Luka MT. 9:58
7
Luka MT. 9:48
akawaambia, Killa mtu atakaempokea kitoto hiki kwa jina langu, anipokea mimi, na killa mtu atakaenipokea mimi, ampokea yeye aliyenituma. Maana yeye aliye mdogo miongoni mwenu ninyi nyote, huyu atakuwa mkubwa.
Chunguza Luka MT. 9:48
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video