1
Luka 19:10
Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza
Kwa maana Mwana wa Mtu amekuja kutafuta na kuokoa waliopotea.”
Linganisha
Chunguza Luka 19:10
2
Luka 19:38
wakawa wanasema: “Abarikiwe Mfalme ajaye kwa jina la Bwana. Amani mbinguni, na utukufu juu mbinguni!”
Chunguza Luka 19:38
3
Luka 19:9
Yesu akamwambia, “Leo wokovu umefika katika nyumba hii, kwa vile huyu pia ni wa ukoo wa Abrahamu.
Chunguza Luka 19:9
4
Luka 19:5-6
Basi, Yesu alipofika mahali pale, aliangalia juu akamwambia, “Zakayo, shuka upesi, maana leo ni lazima nishinde nyumbani mwako.” Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha.
Chunguza Luka 19:5-6
5
Luka 19:8
Lakini Zakayo akasimama, akamwambia Yesu, “Sikiliza Bwana! Mimi nitawapa maskini nusu ya mali yangu, na kama nimenyang'anya mtu yeyote kitu, nitamrudishia mara nne.”
Chunguza Luka 19:8
6
Luka 19:39-40
Hapo baadhi ya Mafarisayo waliokuwako katika lile kundi la watu wakamwambia Yesu, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako!” Yesu akawajibu, “Nawaambieni, kama hawa wakinyamaza, hakika hayo mawe yatapaza sauti.”
Chunguza Luka 19:39-40
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video