1
Wimbo ulio Bora 8:6
Swahili Revised Union Version
Nitie kama mhuri moyoni mwako, Kama mhuri juu ya mkono wako; Kwa maana upendo una nguvu kama mauti, Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake ni mwako wa moto, Na miali yake ni miali ya Yahu.
Linganisha
Chunguza Wimbo ulio Bora 8:6
2
Wimbo ulio Bora 8:7
Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo, Wala mito haiwezi kuuzamisha; Kama mtu angetoa badala ya upendo Mali yote ya nyumbani mwake, Angedharauliwa kabisa.
Chunguza Wimbo ulio Bora 8:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video