1
Wimbo ulio Bora 5:16
Swahili Revised Union Version
Kinywa chake kimejaa maneno matamu, Ndiye mzuri sana kwa ujumla. Ni huyu mpendwa wangu, ni huyu rafiki yangu, Enyi binti za Yerusalemu.
Linganisha
Chunguza Wimbo ulio Bora 5:16
2
Wimbo ulio Bora 5:10
Mpendwa wangu ni mweupe, tena mwekundu, Mashuhuri miongoni mwa elfu kumi
Chunguza Wimbo ulio Bora 5:10
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video