1
Kutoka 22:22-23
Swahili Revised Union Version
Usimtese mjane yeyote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima. Ukiwatesa watu hao katika neno lolote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao
Linganisha
Chunguza Kutoka 22:22-23
2
Kutoka 22:21
Usimwonee mgeni, wala kumtendea jeuri; kwa kuwa ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri.
Chunguza Kutoka 22:21
3
Kutoka 22:18
Usimwache mwanamke mchawi kuishi.
Chunguza Kutoka 22:18
4
Kutoka 22:25
Ukimkopesha mtu aliye maskini, katika watu wangu walio pamoja nawe; usiwe kwake mfano wa mwenye kumdai; wala hutamwandikia faida.
Chunguza Kutoka 22:25
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video