1
Zaburi 26:2-3
Swahili Revised Union Version
Ee BWANA, unijaribu na kunipima; Unisafishe akili yangu na moyo wangu. Maana fadhili zako zi mbele ya macho yangu, Nami nimekwenda katika kweli yako.
Linganisha
Chunguza Zaburi 26:2-3
2
Zaburi 26:1
Ee BWANA, unihukumu mimi, Maana nimekwenda kwa ukamilifu wangu, Nami nimemtumaini BWANA bila wasiwasi.
Chunguza Zaburi 26:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video