Zaburi 26:1
Zaburi 26:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ee BWANA, nithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimemtumainia BWANA bila kusitasita.
Shirikisha
Soma Zaburi 26Zaburi 26:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, unitetee, maana nimeishi bila hatia, nimekutumainia wewe bila kusita.
Shirikisha
Soma Zaburi 26