1
Mathayo 4:4
Swahili Revised Union Version
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Linganisha
Chunguza Mathayo 4:4
2
Mathayo 4:10
Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Mwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.
Chunguza Mathayo 4:10
3
Mathayo 4:7
Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
Chunguza Mathayo 4:7
4
Mathayo 4:1-2
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. Akafunga siku arubaini mchana na usiku, mwishowe akaona njaa.
Chunguza Mathayo 4:1-2
5
Mathayo 4:19-20
Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.
Chunguza Mathayo 4:19-20
6
Mathayo 4:17
Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Chunguza Mathayo 4:17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video