Mathayo 4:4
Mathayo 4:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno asemalo Mungu.’”
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 4