1
Wakolosai 4:6
Swahili Revised Union Version
Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolezwa chumvi, ili mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.
Linganisha
Chunguza Wakolosai 4:6
2
Wakolosai 4:2
Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba mkiwa na shukrani
Chunguza Wakolosai 4:2
3
Wakolosai 4:5
Nendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.
Chunguza Wakolosai 4:5
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video