Wakolosai 4:6
Wakolosai 4:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mazungumzo yenu yanapaswa kuwa daima mema na yaliyokolezwa kwa chumvi na ya kuvutia, na mnapaswa kujua jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolezwa chumvi, ili mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4