1
Zab 59:16
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Nami nitaziimba nguvu zako asubuhi, Nitaziimba fadhili zako kwa furaha. Kwa kuwa ndiwe uliyekuwa ngome yangu, Na makimbilio siku ya shida yangu.
Linganisha
Chunguza Zab 59:16
2
Zab 59:17
Ee nguvu zangu, nitakuimbia kwa furaha, Maana Mungu ndiye aliye ngome yangu, Mungu wa fadhili zangu.
Chunguza Zab 59:17
3
Zab 59:9-10
Ee nguvu zangu, nitakungoja Wewe, Maana Mungu ndiye aliye ngome yangu Mungu wa fadhili zangu atanitangulia, Mungu atanijalia kuwatazama adui zangu.
Chunguza Zab 59:9-10
4
Zab 59:1
Ee Mungu wangu, uniponye na adui zangu, Uniinue juu yao wanaoshindana nami.
Chunguza Zab 59:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video