1
Mt 4:4
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Linganisha
Chunguza Mt 4:4
2
Mt 4:10
Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
Chunguza Mt 4:10
3
Mt 4:7
Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
Chunguza Mt 4:7
4
Mt 4:1-2
Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Chunguza Mt 4:1-2
5
Mt 4:19-20
Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.
Chunguza Mt 4:19-20
6
Mt 4:17
Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Chunguza Mt 4:17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video