1
Zaburi 8:4
Neno: Bibilia Takatifu
mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?
Linganisha
Chunguza Zaburi 8:4
2
Zaburi 8:3
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha
Chunguza Zaburi 8:3
3
Zaburi 8:5-6
Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima. Umemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako; umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.
Chunguza Zaburi 8:5-6
4
Zaburi 8:9
Ee BWANA, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Chunguza Zaburi 8:9
5
Zaburi 8:1
Ee BWANA, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote! Umeuweka utukufu wako juu ya mbingu.
Chunguza Zaburi 8:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video