1
Zaburi 59:16
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini mimi nitaziimba nguvu zako, asubuhi nitaimba kuhusu upendo wako; kwa maana wewe ndiwe ngome yangu na kimbilio langu wakati wa shida.
Linganisha
Chunguza Zaburi 59:16
2
Zaburi 59:17
Ee uliye Nguvu zangu, ninakuimbia sifa. Wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, Mungu unayenipenda.
Chunguza Zaburi 59:17
3
Zaburi 59:9-10
Ee nguvu yangu, ninakutazama wewe, wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, Mungu wangu unayenipenda.
Chunguza Zaburi 59:9-10
4
Zaburi 59:1
Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu.
Chunguza Zaburi 59:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video